Legatum
Kujiongoza (Ujasiri)
Aina ya uongozi unaohitajika kubadili mambo kuwa bora unahitaji ujasiri na uongozi binafsi ili kushinda vikwazo vya nje na hofu za ndani. Ujasiri hutuwezesha kufanya yaliyo sawa na mema hata tunapokabili magumu, vizuizi, na upinzani.